Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Wala hatuzozani Mkuu, mtu ana shida zake anataka shida zake ziamue sheria za humu ndani. Aje kistaarabu kwani mangapi tunaenda nayo kistaarabu. Akija kiungwana tutaenda naye kiungwana, akija kitoto tutaenda naye kitoto kama alivyokuja. Hakuna kutishana na kupangiana humu ndani, hili ni jukwaa huru.Jamani vita ni kwa kanji viipi mbona kuna mizozani tena humu.
Mambo ni kueleweshana, kuna jamaa naona alilalama kuwa ni vizuri pia mikeka iletwe kabla ili angalau na yeye adese. Sasa naona naingia now nakuta kumbe kuna malumbano na si amani. Why tunakuwa na utoto hiv wakuu.
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
tententebtenteMkuu fanya yako babu. Usituwaze. Sie tunakula we mwenye stakes za million weka hapa wons na mimi niweke saa hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
we jamaa wa ajabu sana..khaaaNaona watu wanabadilisha I'd tu kuja kupambana na Void ab initio tehtehteh aiseeeeeee....!!! Ila kuliwa na kanjibhai kunauma. Hahaaaaa
Tehtehteh ajabu yangu ni nini?
Brisbane roars vs Melbourne victorygame iliisha sare 3-3
View attachment 994755
baada ya penalt
View attachment 994756
wako sahihi 1xbet
Poa Poa mkuugame iliisha sare 3-3
View attachment 994755
baada ya penalt
View attachment 994756
wako sahihi 1xbet