Badilika nadhani kuna fitina ilifsnyika so ukisubiri utachelewa sana1x bet wanazingua cku hz local network hazipo km tigo na Airtel na nilishawafata san inbox lkn kila cku jibu n moja tu"Our specialists are doing their best to resolve the problem as soon as possible"
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja sana..hongera sanaAm so paid
Baada ya kukesha na NBA sasa haya ndo matunda niliovuna mtaji wa 20k unazarisha 80k
Good day to die hard View attachment 995831View attachment 995832
Sent using Jamii Forums mobile app
PMbet ndiyo hata usijaribu hao hata ukiweka over 0.5 kwenye mechi moja na goli likapatikana sekunde ya tatu utalipwa baada ya dk 90 japo wana bonus na hawakati kodi
PMbet ndiyo hata usijaribu hao hata ukiweka over 0.5 kwenye mechi moja na goli likapatikana sekunde ya tatu utalipwa baada ya dk 90 japo wana bonus na hawakati kodi
Leo vipi mkuu.. tukutane Australia muda si mrefu @ aldeo.
Huyu waleo anauhakika wa kushinda n Melbourne sema magoli Sasa vndo shida yake sema na game ishaanza ila Kama ya lunch tuu mpe Melbourne ashinde tena saiz anaodds 2
Unaachaje fursa sasa.Kamanda kweli unafuatilia,ikiona fursa tu unatupa ndoano..haina kulala
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaachaje fursa sasa.