Isack bruno
Senior Member
- Dec 12, 2016
- 192
- 207
Huyu jamaa anauza odds za uhakika amepost huo mkeka kama yeye ndio katoa hizo odds na watu wamepagawa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa anauza odds za uhakika amepost huo mkeka kama yeye ndio katoa hizo odds na watu wamepagawa kweli
Ukute alieshinda hata sio yeyee... Hapoo watapigwaa watu helaa balaa.. Mtu kala mil 96 alafu anakwambia toa 10k nikuuzie odds na wewe bila kutumia akili kufikiri Unatoaa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji15] Mtu kala mil 96 atake 10k yako..Huyu jamaa anauza odds za uhakika amepost huo mkeka kama yeye ndio katoa hizo odds na watu wamepagawa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeliwa aisee! Ila sipo tayari kutapeliwa. Bora nikomae na tricks za humuHuyu jamaa anauza odds za uhakika amepost huo mkeka kama yeye ndio katoa hizo odds na watu wamepagawa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo watu washatekwa akiliUkute alieshinda hata sio yeyee... Hapoo watapigwaa watu helaa balaa.. Mtu kala mil 96 alafu anakwambia toa 10k nikuuzie odds na wewe bila kutumia akili kufikiri Unatoaa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji15] Mtu kala mil 96 atake 10k yako..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeliwa aisee! Ila sipo tayari kutapeliwa. Bora nikomae na tricks za humuHuyu jamaa anauza odds za uhakika amepost huo mkeka kama yeye ndio katoa hizo odds na watu wamepagawa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo mkuu komaa mwenyeweNimeliwa aisee! Ila sipo tayari kutapeliwa. Bora nikomae na tricks za humu
tententententeNini unacheka Mnduku wewe....Mbupu kwelii, unakenua nn mnduku ww....na Ronaldo kafunga sasa..mbupu ww
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasasa siitumii nimeipa likizo naitumia kwenye uchambuzi
Poa kiongoziKwasasa siitumii nimeipa likizo naitumia kwenye uchambuzi