wakali ndondo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 583
- 908
Shilingi moja (1)
No 3 unaweza Ipa option ya Over 1.5 goals, ( 2 or 3 goals)Tuitafte alhamisi..
View attachment 997007
Mkeka betWakuu ni kampuni gani nzuri za betting Tanzania ambazo naweza bet kwenye simu???
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nawaamini sana nawapaga zote zilizopo na siku zote odds zao nakuta ni 2.2
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure, ukiona kwenye lineup yao yupo Stephen Curry & Klay Thompson ... anza kuhesabu hela kabla hujatupia. Yani pesa nje nje ... hao jamaa wawili (Curry & Thompson) ni shida.
Wakati msimu unaanza Stephen Curry alikuwa majeruhi ndo maana walianza vibaya. Lakini saiv amerudi kwenye form yake ni balaa.
Ila wasipokuwepo hao, chunga sana.