Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ukichanganya nazako ukosi tuela twamboga kwakweli
Screenshot_20190117-190156.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye Sports News links za uwakika nataka njaribu cheza Jackpot ya betpawa naona zipo tamu na pesa ndogo kuliko sportpesa.

mara ya mwisho nliipiga 10 na 8 out of 17 kwa analysis ya facts tuu, nataka za Injury report na mengineyo.

Site 2 tuu za uwakika zinantosha...kuna mdau alikuwa anatupia maelezo ya teams usika nani atakuwa hayupo angentumia link ningemalza Ombi langu.

Ahsante.
Punter
Sofa score naona iko poa

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye Sports News links za uwakika nataka njaribu cheza Jackpot ya betpawa naona zipo tamu na pesa ndogo kuliko sportpesa.

mara ya mwisho nliipiga 10 na 8 out of 17 kwa analysis ya facts tuu, nataka za Injury report na mengineyo.

Site 2 tuu za uwakika zinantosha...kuna mdau alikuwa anatupia maelezo ya teams usika nani atakuwa hayupo angentumia link ningemalza Ombi langu.

Ahsante.
Punter
Mimi najua site inaitwa whoscore.com utaona injured,Suspension,doubt,red card nakathalika ila ni kwa baadhi ya timu sasa sizani kama hizi za jackpots wanaweka hizo previews jaribu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu hivi hiyo bonus ya parimatch ukijiunga ukabet elfu kumi ni kweli unapata Tsh.50000 ya bure?

Nikwel lakin wana mashart unachagua timu 5 zenye Odds 1.7 na kuendelea ndo unapata hyo elfu 50 na hyo 50 ukpta unatakiwa ubet mikeka 5 yenye odds 1.7 na kuendelea


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom