Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Odd 120+ loss awawaili wameharibu ngoja nimuandalie bom [emoji91]jingine
Screenshot_20190117-133900.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kampuni gani zuri kwenye kuweka mkeka baskerball...... mana nako kuna mshiko kule
 
Wakuu hivi hiyo bonus ya parimatch ukijiunga ukabet elfu kumi ni kweli unapata Tsh.50000 ya bure?
 
Mwenye Sports News links za uwakika nataka njaribu cheza Jackpot ya betpawa naona zipo tamu na pesa ndogo kuliko sportpesa.

mara ya mwisho nliipiga 10 na 8 out of 17 kwa analysis ya facts tuu, nataka za Injury report na mengineyo.

Site 2 tuu za uwakika zinantosha...kuna mdau alikuwa anatupia maelezo ya teams usika nani atakuwa hayupo angentumia link ningemalza Ombi langu.

Ahsante.
Punter
 
Back
Top Bottom