Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huyu jamaa anauza odds za uhakika amepost huo mkeka kama yeye ndio katoa hizo odds na watu wamepagawa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukute alieshinda hata sio yeyee... Hapoo watapigwaa watu helaa balaa.. Mtu kala mil 96 alafu anakwambia toa 10k nikuuzie odds na wewe bila kutumia akili kufikiri Unatoaa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji15] Mtu kala mil 96 atake 10k yako..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hivyo watu washatekwa akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…