Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilikua natumia 1xbet kwa sasa sina na xbet nimejitoa meridiani wana app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimehit 12/17 moja ya mkeka wa jackport multiple sikuweka kwa aliyefuata hii tip ya multiple nategemea moja ya mkeka amehit 15/17 kama sikosei
sio mbaya
 
yaani kakosa moja ya perugia huku anasubiri moja ya leo
 
Uki weka Multiple yaani izo Double Chance ticket unalipia kiasi gani??
Maana kuna siku nilkua na sh2000 kwenye Acc lakin bado nikawa naambiwa salio halitoshi ni deposit
nimehit 12/17 moja ya mkeka wa jackport multiple sikuweka kwa aliyefuata hii tip ya multiple nategemea moja ya mkeka amehit 15/17 kama sikosei
sio mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uki weka Multiple yaani izo Double Chance ticket unalipia kiasi gani??
Maana kuna siku nilkua na sh2000 kwenye Acc lakin bado nikawa naambiwa salio halitoshi ni deposit

Sent using Jamii Forums mobile app
nafikiri mechi 16 ukiweka single bet moja ukaweka double chance inahesabika 200 na sio mia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…