y
yeah bro hata kwenye soko la share wanaotusua ni wale wenye insider information,jamaa ni mshabiki wa cardif anajitahidi kutafuta information,kuna siku ilikuwa mechi ya leceister na cardif akatupia cardif anashinda ,wauza tips wakampa leceister ,cardif akashinda
wanayo
nilirepost jana tips zake zilitoa zote,pia nilitoa link asubuhi kwa tips za leo,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee, mkuu ungefanya kuziorodhesha timu kama tano zile ambazo ulizo zifanyia Analysis ukashare humu mjengoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee mkuu mbona sijaona, au ndio ule msululu wa jackpotsnilirepost jana tips zake zilitoa zote,pia nilitoa link asubuhi kwa tips za leo,
tatizo mkuu tunaogopa odd kubwa,tunauliwa na odd ndogo wakati tayari mpaka kuingia kwenye biashara hii sisi ni risk takerHuyu kila weekend namtengea 50,000/- maalumu kwa ajili ya tips zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
nili repost ya arsenal draw no bet na newcastle to win
Hahahahahat
tatizo mkuu tunaogopa odd kubwa,tunauliwa na odd ndogo wakati tayari mpaka kuingia kwenye biashara hii sisi ni risk taker
HT/FT APP, Download it From Here:
t
tatizo mkuu tunaogopa odd kubwa,tunauliwa na odd ndogo wakati tayari mpaka kuingia kwenye biashara hii sisi ni risk taker
Hizo mbili niliziona mkuu, lakini nilishachelewa na sikujua kama hizo Tips zimetoka kwa Stevenili repost ya arsenal draw no bet na newcastle to win
Leo mpinzani wa PSV alikuwa na odds za kutosha tu. Tumemuofia kamsimamisha PSV kwa draw. Namuona na Tottenham anakaribia kufunga mlango na sio magoli.Kabisa mkuu ... kwenye Tennis leo (Australia Open) , Stefano Tsitsipas alikuwa na Odds 5.5 amemtoa mkongwe Roger Federer ... ni uoga nilisita baadae nikaachana nayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
hao naowababaishaji tyu.kuna siku nimecopy km mikeka15 yote niliambulia hit 3 kwenye mikeka yote,but wakwangu niliocheza 3200 nilitusua 13nikasepa na250kyao.jana kunamdau alirusha hiyo jackpoti nikatest kwa option alizoweka ikaleta stake ya 210k nikawa sina mtonyo wa kustake,kucheck mornie jamaa kapatia 13 daah.Ni kama HINT ama dokezo ambalo liko betpawa jackpot
Yani ukibonyeza hapo inajitabiria matokeo yatakavyokua
Mkuu naomba site ambayo naweza kuona predictions zakee...muwe mnapitia wakuu unasoma analysis ukiridhika unatupia kuliko site za wauza tips,anatoa tips nyingi nyingi mfano jana nilitemebea pia na hii
Borussia Monchengladbach Double Chance @ 1.90 with MarathonBet
Borussia Monchengladbach to Score First @ 2.30 with Ladbrokes
ila yupo sahihi sana kwenye epl kanipa sana hela za matumizi madogomadogo
ungeifuata ile multiple ingetoa 15 mkuuhao naowababaishaji tyu.kuna siku nimecopy km mikeka15 yote niliambulia hit 3 kwenye mikeka yote,but wakwangu niliocheza 3200 nilitusua 13nikasepa na250kyao.jana kunamdau alirusha hiyo jackpoti nikatest kwa option alizoweka ikaleta stake ya 210k nikawa sina mtonyo wa kustake,kucheck mornie jamaa kapatia 13 daah.
Mi nimeitumia kwa mechi za jana nimehit 11hao naowababaishaji tyu.kuna siku nimecopy km mikeka15 yote niliambulia hit 3 kwenye mikeka yote,but wakwangu niliocheza 3200 nilitusua 13nikasepa na250kyao.jana kunamdau alirusha hiyo jackpoti nikatest kwa option alizoweka ikaleta stake ya 210k nikawa sina mtonyo wa kustake,kucheck mornie jamaa kapatia 13 daah.