Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Serikal hii inaendeshwa kwa kod za wananchi,na hii ni industry isiyosumbua kulipa kodi kabis,tunachangia billions

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapuuzi kama hawa wakiingia kwenye kilinge chetu sio wa kuwaacha......wanadhani watu hatuna kazi,hatuna elimu,hatuna majukumu yahn tupo tupo tu......aisee ee!!! Siwaelewag na huko wameshatuanzishia uzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…