Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Hata Mimi nashangaa sijui kimemleta nini humu, Ila mawazo ya kimasikini yanatumaliza sana. Kwakweli aliyesema umasikini ilipaswa kuwa dhambi hakukosea.Mkuu naona umeanza kuchokonolewa na wewe duh![emoji116]
Mkuu Void ab initio hawa tunawaita wapinga kristo soka255 kakuchokonoa weee kakushindwa sasa ni huyu anasema ni muislamu hawezi kubet kafata nini kwenye huu uzi