Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ngoja nijilipue nione jamaa watasepa na mtaji wangu
IMG_20190122_185042_851.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nawashangaa watu wanaosema betting ni rahisi


Sent using Jamii Forums mobile app
Katika michezo migumu ni betting,siwezi kusema ni rahisi hata kidogo,mm kichwa huwa kinauma hasa basket in play nikianza kufuatilia game mbili hadi tatu au nne ,hata nimake profit huwa natoka kama mwehu ,kichwa kinauma,gambling is not simple at all

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom