Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,702
- 2,287
Wajinga sana hao.. hawajui kwamba hata kilimo na biashara nyingine ni kubet.Wapuuzi kama hawa wakiingia kwenye kilinge chetu sio wa kuwaacha......wanadhani watu hatuna kazi,hatuna elimu,hatuna majukumu yahn tupo tupo tu......aisee ee!!! Siwaelewag na huko wameshatuanzishia uzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani wakistop ndo betting itakoma comrade?Fanyeni kazi!!Acheni kupenda pesa za mteremko Tanzania soon wana stop betting ,,!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga sana hao.. hawajui kwamba hata kilimo na biashara nyingine ni kubet.
Avertissement de redirectionTtz wamekalili harafu hwajakutna na watu ambao wanafnya maendeleo kwa michezo hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kifupi bongo haiwez futwa...kule Uganda akiondoka mu7 ngoma inarud kwa sababu jamaa ni mkono wa chumaHamna maendeleo ya kamari bali kinyume chake ni hasara !watu wamefirisika kisa kamari we unaongelea maendeleo!?Avertissement de redirection
Sent using Jamii Forums mobile app
maendeleo yangu haya kuhusu kijana!!Kwa kifupi bongo haiwez futwa...kule Uganda akiondoka mu7 ngoma inarud kwa sababu jamaa ni mkono wa chuma
Haya ww ambaye huchezi una maendeleo gaan???
Sent using Jamii Forums mobile app
Napata ukakasi sana mwanaume anapomuingila mwanaume mwenzie kwenye starehe yake....
Wtf mimi nikikwmbia inanilipa sio chini ya 800k kwa mwez imeshuka sana mpaka 500k....unanishauri vip niache na nifanye kazi gan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi tuliza mlege mkuu maana hakuna aliyekuja kukugongea nyumbani kwko na kukuomba pesa ya kula ama kubetia.
Vipi ukipata mtji huo wa biashara hutajirik????
Je kuna biashara isiyo na hasara?Hamna maendeleo ya kamari bali kinyume chake ni hasara !watu wamefirisika kisa kamari we unaongelea maendeleo!?Avertissement de redirection
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Pesa za mteremko, hii ni kazi kama kazi nyingine. Watu tumeshanunua kiwanja Kwa kazi hii. Karibu site Mkuu.Fanyeni kazi!!Acheni kupenda pesa za mteremko Tanzania soon wana stop betting ,,!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mi Muislam siwezi ku Bet dini yangu hairuhusu!Hakuna Pesa za mteremko, hii ni kazi kama kazi nyingine. Watu tumeshanunua kiwanja Kwa kazi hii. Karibu site Mkuu.
Haya Mkuu weee weka hela zako huko bank ili tukuze mzunguko Wa tunaobet. Manaake hata mabank yanabet na kupata faida maradufu.
Mkuu naona umeanza kuchokonolewa na wewe duh!👇Basi tuliza mlege mkuu maana hakuna aliyekuja kukugongea nyumbani kwko na kukuomba pesa ya kula ama kubetia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndo mnaabudu zile CD za ufreemasoni zinazokataza vifaa vya kieletroniki kuwa ni ukafiri (ufremason) wakati CD mnaweka kwenye deki/ computer.