Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Hata Mimi nashangaa sijui kimemleta nini humu, Ila mawazo ya kimasikini yanatumaliza sana. Kwakweli aliyesema umasikini ilipaswa kuwa dhambi hakukosea.Mkuu naona umeanza kuchokonolewa na wewe duh![emoji116]
Mkuu Void ab initio hawa tunawaita wapinga kristo soka255 kakuchokonoa weee kakushindwa sasa ni huyu anasema ni muislamu hawezi kubet kafata nini kwenye huu uzi
Mkuu jipange uanze kujenga mdogo mdogo. Ukiwa na 5mil niite nikujebgee msingi imara wa nyumba ya KisasaHakuna Pesa za mteremko, hii ni kazi kama kazi nyingine. Watu tumeshanunua kiwanja Kwa kazi hii. Karibu site Mkuu.
Pamoja Mkuu, ngoja nipambane.Mkuu jipange uanze kujenga mdogo mdogo. Ukiwa na 5mil niite nikujebgee msingi imara wa nyumba ya Kisasa
Ahhaaaaa Na siku hizi MTU akifanikiwa anaitwa Freemason yaani umasikini ni shiida mpaka mawazo yanaganda.Nyie ndo mnaabudu zile CD za ufreemasoni zinazokataza vifaa vya kieletroniki kuwa ni ukafiri (ufremason) wakati CD mnaweka kwenye deki/ computer.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo team ishinde angalau kipindi kimoja either kipindi cha kwanza au cha pili.Je Premier Bet wanaposema kwa mfano "Mamelod Sundowns to win either half" wanamaanisha nini?
OK! Natarajia kuwapa "YES" Mamelod. Naona bookmakers wamewapa 1.8Hiyo team ishinde angalau kipindi kimoja either kipindi cha kwanza au cha pili.
Hahaha group Lina masharti Kama nini...adi ujipendekeze kwake ndio asiku remove...Tulikuwa huko na ukatu Remove na sasa unatuwekewa link tuje huko, umetufanya sie watoto..
Sent using Jamii Forums mobile app