Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,046
- 4,447
Hapa ulijilipua Dakika ya ngapi ya kipindi cha kwanza?Aiseee....View attachment 1002075
vMkuu hakuna dhambi yoyote uifanyao ambayo siyo kubet?? Jisafisge kwanza ndipo utaweza kumsafisha mwingine boss
Achaneni naye huyo! Tupeane tips tu!vMkuu hakuna dhambi yoyote uifanyao ambayo siyo kubet?? Jisafisge kwanza ndipo utaweza kumsafisha mwingine boss
Tumekwisha ambao bado hatujashinda jackpots, ila naomba afungie kampuni zenye mfanano wa tatu mzukaView attachment 1002154NJOONI SITE ZA KIMATAIFA HAWA WAZEE WAMEVURUGWA NA WAMEGOMA KWENDA NA WAKATI
Tumekwisha ambao bado hatujashinda jackpots, ila naomba afungie kampuni zenye mfanano wa tatu mzuka
Katika michezo migumu ni betting,siwezi kusema ni rahisi hata kidogo,mm kichwa huwa kinauma hasa basket in play nikianza kufuatilia game mbili hadi tatu au nne ,hata nimake profit huwa natoka kama mwehu ,kichwa kinauma,gambling is not simple at all
Iyo sio account ya mheshimiwaView attachment 1002154NJOONI SITE ZA KIMATAIFA HAWA WAZEE WAMEVURUGWA NA WAMEGOMA KWENDA NA WAKATI
Hii ndio account ya rais wa nch hii,View attachment 1002154NJOONI SITE ZA KIMATAIFA HAWA WAZEE WAMEVURUGWA NA WAMEGOMA KWENDA NA WAKATI
View attachment 1002154NJOONI SITE ZA KIMATAIFA HAWA WAZEE WAMEVURUGWA NA WAMEGOMA KWENDA NA WAKATI
AiseeeeNgoja nijilipue nione jamaa watasepa na mtaji wanguView attachment 1002144
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante! Hata mimi niliigilizia
Noma sana..yaani M 31 ni mgawo..kuna selemala kala jackpot kapatia timu 12 kati 13 kapewa 31mil
Sio sportpesa kwelikuna selemala kala jackpot kapatia timu 12 kati 13 kapewa 31mil
[emoji857][emoji857][emoji857][emoji120][emoji120][emoji120]Time 20:30
Play single
France cup
Toulouse vs Reims
Totaol goal over 2.5(3+) odd 2.30
[emoji857][emoji857][emoji857][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app