Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo



Tatizo la watanzania n wavivu na wazito kufikiria hzo site za betting company wameweka kila kitu wazi inshu n wewe tuu mie Sion sababu yakuja kuuliza jinsi ya kudeposit humu sijui unatoaje hela Mara double chance ndo nn kila kitu kimewekwa humo Tena kwa uwaxi inshu n fuata maelekezo hili la 1xbet limekuwa n tatizo kwawatu humu kila siku maswali na mbaya Zaid inaonesha hakuna urafiki wa kudeposit Wala kuwithdraw pesa zako kwa hyo site saa kwann ujipe stress wakat bongo site n nyingi mno Kuna.

1. Premier bet
2. Meridianbet
3. Super bet
4. Gal sport betting
5. Pari match betting
6. Mkeka bet
8. Throne bet
9. Betpawa
10. Play master

Bado zingine rundo ambazo n user friends na pesa zako Sasa kwann uende ujipe tabu.

Mbaya zaidi utaona mtu anakuja kurply kuniuliza Moja ya kampun nlizotaja hapo nimpe link au app yake wakati anauwezo wakwenda Google na kupata anachokitaka
 
Ha ha ha ndugu yangu ukijua kitu usifikiri kila mtu anajua,na wewe vipo vingine usivyojua kwa iyo ukimuona mtu anaulizia usimuone mvivu au mjinga..hata wewe ulielekezwa hukujokuta tu unajua..sio wote tuna uelewa na hii teknolojia..usiwe mchoyo kumuelekeza mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikapu knafurahisha ,wanaweza wakaanza kwa point nyingi quarter ya kwanza ,ukajua hii mechi itakukwa na over ya kutosha unashangaa upepo unabadilika

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa naangalia analysis ya game husika mapema kabla haijaanza ili hata ikija kuanza naoanisha tu na analysis then nachanganya na za kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kufananisha 1xbet na hivyo vikampuni vya uchochoroni wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee kutafsiri lugha ya Malkia na kuelewa maneno ya kiingereza ni vitu viwili tofauti...wacha watu waulize tu, tunatofautiana uelewa kwa mbali sana.... Usijekushangaa kuombwa App. Ya Google!!? Hii issue ina Intaprinyuaa wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…