Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

sassoulo vs cagliari 1
freiburg vs hoffenheim 2x
wolfburg vs b.leverkusen 1x
blckburn vs hullcity 1x
bromley vs eastleigh 1
dumbarton vs montrose 1
newcastle vs watford 2x
norwich vs sheffield utd 1
portmouth vs qpr 2
nantes vs st.ettien 2x
leganes vs eibar 1
werder bre vs eintracht fra 1 or 2
dijon vs as monaco 1x
guingamp vs reims x
ac milan vs napoli 2
cercle brugge vs st.tuden 1x
Cc:ifran,troublemaker,joanah n.k
kabla jiwe ajafyekelea mbali biashara yetu tuhakikishe hizi mil200 tumezichukua.
NATOKA IVI PLSE MCHANGO WENU NI MUHIMU HAPA.kabla sijastake.
 
Kwani wanaruhusu hadi double chance mkuu? Naona kama huu mkeka wako umekaa kula kula tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahivi hakuna chimbo tamu kama PARIMATCH. CO.TZ hawa jamaa wanamachaguo ya kumwaga na odds nzuri,achaneni na hao wapumbavu wengine kama mkekabet,sports pesa,m-bet,Parimatch hakuna kukatwa VAT
 
Sahivi hakuna chimbo tamu kama PARIMATCH. CO.TZ hawa jamaa wanamachaguo ya kumwaga na odds nzuri,achaneni na hao wapumbavu wengine kama mkekabet,sports pesa,m-bet,Parimatch hakuna kukatwa VAT
naomba link tafadhali.
 


Inshu sio lugha mzee na Kama wapo n 5% tuu ya wanaotumia inshu n kutaka kirahisi bila kujua mfano Kuna kipindi nyuma ya 2013 kulikuwa na Ladbrokes pale newafrica hotel kujiunga na Ladbrokes ulikuwa unapata bonus si chin ya USD 10 Sasa ndugu zangu Hawa mtu anasajili account hii anaclaim bonus anaitumia anafungua account nyingine wale jamaa kwenye system wakaona usumbufu Tz khs bonus claiming wakiangalia hela alioweka kwenye account haizid 10usd nabado kubadilisha account na kaomba bonus jamaa wakaona ujinga wakaondoa bonus sijui Kama sikuhz wamerudisha.

Back to 1Xbet inaezekana wameamua kuhamisha magoli kwasababu watz wengi kusahau password n kugusa kurequest password mpya kwao n mtihani ambao hawajah kufaul kufungua account na kudeposit 10,000 alafu akiliwa buku nne anataka atoe 5,000.00 apambane na buku Jambo ambalo huwez kutoa kiasi chin au sawa na ulichodeposit lingine utoto mwingi Mimi nimeshuhudia group nying za betting nje ya Tanzania kosa ikitokea watoto wa tz wamepata link wakiingia humo n maswali ambayo hayastahili kuulizwa Kama mtu anaejua kubet pili was matusi usiombe kingine asione umepost mkeka wa rangi ambayo hajaizoea utaskia kampun gan hyo Mara Nipe link Yan n noma mzee.
 
Hapo naona kama ungempa hull city kwa double chance na montrose
Hivi tunaweza kuzuiwa kubet kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…