Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

 
Mi huwa najilipua 50000 kwa bet nikakosea nikaplace bila kuangalia nikajikunja maana wasingeweza fikisha hizo point.....

Leo napo imetokea hiyo
Hahaaaa saiv nimebadili mbinu...navizia game imeaanza atleast ifike kwota ya pili, naenda kuchek kwenye match winner na total najilipua hapo,, game 1 sikos odds 2 angalau

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…