Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Walimwengu nielekezeni sasa format za kubet mbet mamb ya under cjui

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kama ukitaka kubett under na over sikushauli huko MBET ukitaka under na over ni bora ukatumia betpawa,premier,playmaster na n.k....under na over ni option inayotumika katka magoli kwa mfano mech iwe simba na azam .sasa hapo kwenye over na under itategemea ww mwenyewe unatakaje unaweza ukasema over 0.5 yaan goli lipatikane kuanzia moja na kuendelea au ukasema under 2.5 yaaan magoli yapatikane ila yasifike matatu yafike 2 kushuka chini hapo ndo utakuwa WOON

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwa nikiwaambia vijana wengi kwamba yanawezekana wanakataaa sasa leo nimeweka buku mbili tu afu nimepiga zangu tisini yangu chap ,,,,unachelewa nn nenda pale sport pesa weka mzigo mechi zipo kibao tu na pesa njenje






Mkeka nilioshinda huu hapo sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ENGN SOMAAAAAAAAAA HIOOOOOO WALIOFWATA ZOTE CONGS


BOOOOOOO9OOOOOOOO M
 
Shida yako ndy hii ya ku-stake pesa hata energy drink hupatii wakat umechagua timu zenye maxmum probability ya winning
Mkuu tunatofautiana strategy
Mimi huwa sibet zaidi ya sh3000 kwa siku
Angalia mikeka yangu per day

Ni mara chache sana kuhesabu hasara kwa hizo hizo stake za sh10 hadi 1000

Nikiliwa sana ni elf2


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…