In play only kwasasa
Nilisema mimi!Hapo kwa Monaco bora ungeweka magoli timu iko kwenye crisis kubwa muda huu, kocha kafukuzwa na hawana winning consistency nzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio ya liva kama nina mashaka nayo ila kwngne fresh lipuka
Ameharibu maisha ya wengi, Samatta arudi Simba sasa maana sometimes tunaweka mali kwa mahaba juu yake
Wale denver washenzi kweli 4th quarter wamezingua kinyama 60k imekwenda
Mbona ukiwapigia chap tu wanakurekebishia tatizo lako customer care yao iko poa sana ngja nikuchekia no yaoMakamanda naombeni msaada wa kuwafikia hawa parimatch, jana nime withdraw elf 25 ila cha ajabu mpaka saa hv sijaipata pesa angu.. pameandika pending tu kama panavoonesha, nikasema labda tatizo la mtandao, nikajaribu ku withdraw elf 2 yenyewe ikatoka ila elf 25 haifik mpesa. aliye na namba yao anisaidie maana mm siwapati
View attachment 1005819
Sent from my iPhone using JamiiForums
0800787878 namb ya parimatch hyo watwangieMakamanda naombeni msaada wa kuwafikia hawa parimatch, jana nime withdraw elf 25 ila cha ajabu mpaka saa hv sijaipata pesa angu.. pameandika pending tu kama panavoonesha, nikasema labda tatizo la mtandao, nikajaribu ku withdraw elf 2 yenyewe ikatoka ila elf 25 haifik mpesa. aliye na namba yao anisaidie maana mm siwapati
View attachment 1005819
Sent from my iPhone using JamiiForums