Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo



Aliyefuataaa hiiii mambo ni Boooooooooom[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]


Chichimizi
 
Ivi mbna betpawa pesa anayokula mtu haikatwi kodi wakati makampuni mengine ukila hela unakatwa kodi

Sent using i Phone x
 
Ivi mbna betpawa pesa anayokula mtu haikatwi kodi wakati makampuni mengine ukila hela unakatwa kodi

Sent using i Phone x
Isije kuwa wanakiuka masharti maana anaekula pesa awe mtu binafsi kashinda au kampuni wote wanatakiwa kulipa kodi ila betpawa hawafanyi ivyo ndio kwanza pesa yako yote unapewa na bonansi juu

Sent using i Phone x
 
fghghgygghhrhgjtd dah mikeka inachanikaaaa Leo real sociadad kunmaaaaa kwel over ya goal moja mmeshindwa
 
Isije kuwa wanakiuka masharti maana anaekula pesa awe mtu binafsi kashinda au kampuni wote wanatakiwa kulipa kodi ila betpawa hawafanyi ivyo ndio kwanza pesa yako yote unapewa na bonansi juu

Sent using i Phone x
Unaijua Premier bet? Unaijua Princess bet?

Na hao Betpawa?




Hawana mambo kama ya M-bet, Sportpesa,Mkeka bet.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…