Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jana kanji nimempa vipigo vitakatifu
Mikeka 5 umechanika m1

Karudisha hela zangu zote alizonila tangu nmeanza betting...

Sisem nmepata faida na kuchekelea sabab najua hiz ni hela zangu zile zile alizonila..

Naanza upya na utaratib wangu ni odd 1.2 or 1.4 ,match mbili tuu za uhakika,stake ya elf50,.lengo ni kila segment ya betting nayofanya,nile elf10...basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vzr kula na wenzio mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah bora hata ww Real Sociedad alikua na odd kubwa...mi nilifata timu ya S.Africa ile Kaizer Chiefs na over 2.5 ilikua na 1.18 odds nikafata..sijui nilijisahau vp mana za africa sifatag kabsa na wakatoka 0-0
 
Betpawa wanazingua nimedraw toka jana saa 4 usiku hadi saa hii hawajaniwekea mzigo wangu
Nimewa whatsap naona wanasoma tu hawajibu
Kuna namna mweye uzoefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada nimewidraw pesa meridian hajifika hadi sasa mwenye namba zao anisaidie
 
Isije kuwa wanakiuka masharti maana anaekula pesa awe mtu binafsi kashinda au kampuni wote wanatakiwa kulipa kodi ila betpawa hawafanyi ivyo ndio kwanza pesa yako yote unapewa na bonansi juu

Sent using i Phone x
Kuhusu betpawa hawana ile odds bust utakuta mechi 20 ods 30 wakati makampuni mengne odds zinafikia hadi 50 ndo maana unaona wanaweka na bonus na kodi hawakati kwa sababu wanajua washakuminya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…