Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,278
- 4,525
Aisee risechi yangu inaweza kuwa kweli,,,,nimetest kuweka ndoano humu ila naona kila ninachotest kushea hapa kinasoma LOSS...nikijilipua bila kushea ni mwendo wa green, bila shaka nakaribia kupata conclusion ya risechi yangu[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida hiyo mkuu.. Ni moja kati ya matukio katika kazi. Usife moyo mkuu.Aisee risechi yangu inaweza kuwa kweli,,,,nimetest kuweka ndoano humu ila naona kila ninachotest kushea hapa kinasoma LOSS...nikijilipua bila kushea ni mwendo wa green, bila shaka nakaribia kupata conclusion ya risechi yangu[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Chunga sana Man United na City, nadhani mmoja leo anaharibu haswa United kupata sare
Chunga sana Man United na City, nadhani mmoja leo anaharibu haswa United kupata sare
benishukaaaaa!!!!!!Sasa cjui mchawi ni nani hapa mana naona hela tuuuView attachment 1008074
Sasa cjui mchawi ni nani hapa mana naona hela tuuuView attachment 1008074
Tupia link yaoHawa parimatch ukiweka elfu 50 kwenye mkeka wenye odds mbili baada ije laki inakuja laki na 80 na ushee hivi? Hii ikoje hii? Mliowahi kutumia parimatch tupeni uzoefu kidogo kwenye hili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba hizo Odds 4 nipasuke nazo.Nime edit kidgo nimepata odd 4...mrejesho ni badaye
Aiseee.. nina bahati mbaya na wewe.. kila nikisubiri utupie vitu ndo huwa huonekani na kila ukitupia nakua kwenye ishu nyingine.Aisee ....Zamaleck hamjawahi kuniangushaView attachment 1008179
Aisee ....Zamaleck hamjawahi kuniangushaView attachment 1008179
Anaongoza mbili saiv