Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1548801428602.png
 
Hili tego na lenyewe likitoa LOss itabidi niende likizo ya kuleta desa humu kwa muda kidogo... Haiwezekani tego nikilileta humu linabuma kuna namna humu sio bure[emoji3][emoji3][emoji3]
IMG_20190130_052719_499.jpg
IMG_20190130_052735_381.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu Bora ukae kimya utilize hasira moyoni Mana Kuna watu wanamatusi usiombe ukakutwa na huyo

Akituma Mkeka Nitag [emoji23][emoji23][emoji23] sio Tips, akituma Mkeka Aliokula Nakunya Dar to Dodoma


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom