Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu..naombeni mwongoz jinsi ya kuwithdraw hela GAL sport coz sioni sehemu ya kuwithdraw via Mobile
 
Washenzi wameenda na 20K yangu hao, team za Afrika ni kichefu chefu.....ajabu nilisita sana nakutamani kucheza OVER 1.5 at the end nikawaamini Direct WIN sabab ya rekodi yao

Wapuuzi sana mkuu ... walienda na 15K, halafu nimeangalia saiv ule mkeka ni wao tu ndio wameharibu na kunikoseaha 150K.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Won
Screenshot_20190130-095722.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu tulifanya makosa ningejua ninsingewapa tarehe 1 wana mechi ya club bingwa afrika ndo maana wamezingua...wameweka mkazo kule
Washenzi wameenda na 20K yangu hao, team za Afrika ni kichefu chefu.....ajabu nilisita sana nakutamani kucheza OVER 1.5 at the end nikawaamini Direct WIN sabab ya rekodi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapwnzi wa man u na man city poleni sana HUKO tuliwafwata kwa gg na magoli tu
Mrejesho
Screenshot_20190130-105557.png
Screenshot_20190130-105557.png
Screenshot_20190130-105350.png
 

Attachments

  • Screenshot_20190130-105540.png
    Screenshot_20190130-105540.png
    147.6 KB · Views: 34
  • Screenshot_20190130-105530.png
    Screenshot_20190130-105530.png
    130.5 KB · Views: 37
  • Screenshot_20190130-105522.png
    Screenshot_20190130-105522.png
    137.3 KB · Views: 33
  • Screenshot_20190130-105500.png
    Screenshot_20190130-105500.png
    122.9 KB · Views: 32
  • Screenshot_20190130-105453.png
    Screenshot_20190130-105453.png
    127.9 KB · Views: 29
  • Screenshot_20190130-105444.png
    Screenshot_20190130-105444.png
    181.6 KB · Views: 30
  • Screenshot_20190130-105419.png
    Screenshot_20190130-105419.png
    174.9 KB · Views: 30
  • Screenshot_20190130-105407.png
    Screenshot_20190130-105407.png
    130.8 KB · Views: 31
Back
Top Bottom