Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Premierbet nashangaa nao hawana hiyo game.Naitafuta kwenye kampuni zote za kubet siioni? Sijui haichezwi kesho? Maana za kesho zote zimewekwa kama latest.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nabet magoli tu wala sitaki kujua nani ashinde ila 3+ ipo pale.DB tena? Hapo ni direct win simba anakufa kuanzia 4 kuendelea. Hii game naitamani sana nistake mapesw what I can't afford to lose.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]DB tena? Hapo ni direct win simba anakufa kuanzia 4 kuendelea. Hii game naitamani sana nistake mapesw what I can't afford to lose.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inachezwa jumamosi tarehe Mbali. Wekeni over 4.5 kitu lazima kujipePremierbet nashangaa nao hawana hiyo game.
Basi kesho itakuwa imewekwa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tufungwe ndiyo hata kutengeneza pesa tusiweze!Inachezwa jumamosi tarehe Mbali. Wekeni over 4.5 kitu lazima kujipe
Basi kesho itakuwa imewekwa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tufungwe ndiyo hata kutengeneza pesa tusiweze!
Tena mechi ya Vita sijui nilikuwa wapi ningeua nyani huku nacheka.Mkuu umeniacha hoi sana
Vita ipi?Kuna hii Vita ya mchina na mmarekani inayopigwa saiz naona haina shamra shamra ya Vita Kama tunavyowaonaga wanavyofanya
Bookmakers company nyingi zitaiweka hii game kwenye fixture zao leo saa 6 usiku. Let's wait and kill the game.Premierbet nashangaa nao hawana hiyo game.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Simba nina mahaba nayo ila siyo kwenye suala pesa.Bookmakers company nyingi zitaiweka hii game kwenye fixture zao leo saa 6 usiku. Let's wait and kill the game.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa unakosa na maumivu juu [emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] Simba nina mahaba nayo ila siyo kwenye suala pesa.
Nishindwe kubet kisa Simba anafungwa!
(In Manara's Voice)
Kabisa.....Kama mtu anataka kutoa gundu la kumla mhindi basi jumamosi ndo hiooo inakuja