Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Girona Vs Real Madrid, Penalti awarded (Yes).

Inter Milan Vs Lazio, Red Card (Yes).

Union Berlin Vs Fc Koln, Away team (Over 1.5)

Odds 19+.

Jaribu uone moto.
 
Tubet kwa kiingereza jamani.
d8e5c991e691aec4444dacd78e1a0603.jpg
 
⛔⛔league : Spain
📶📶Time: 21:30
🎛🎛Macht : Girona - Real Madrid -:-
🔊🔊Tips:2/2
♋♋ODDS: 3:00
⚾⚾:🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏏
 
Naam,kabla ya yote,salam ziwafikie popote mlipo.Bila kupoteza muda baada ya kukaa na kutafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya maisha ya sasa na upatikanaje wa kipato,nimeona ni vema nijaribu bahati yangu huku kwenye mambo ya
kubet.Nimepokea vijisenti kiasi vya mwezi huu kutokana na kijikazi ninachokifanya.Na nimetenga 50K kwa ajili ya Risky Investment.

Kwa kuanza tu,nime-Install M-bet App,na tayari nimetandika jamvi la STAKE ya 10K.Panapo majaliwa baadaye nitakuwa milionea.

Wazee wa kubet nipeni maujuzi juu ya masoko mengine ya kuweka dau kama Overs na Unders!

Kwanza Kabisa Achana na M bet coz ukishinda pesa inachelewa kufika , option chache Pia unakatwa Kodi 20% kwa kila shilingi utakayokula! Tumia Parimatch, Princessbet, Betpawa Hapo hautakatwa kodi na Option za kumwaga na pesa inaingia haraka! Kwa ushauri wangu anza Na Parimatch ingia google andika Parimatch itakuja utajiunga! Ukishajiunga nakushauri Cheza Option mbili tu Over 0.5 na Over 1.5 yani Mechi nzima lipatikane goli 1 tu (over 0.5) , goli mbili kwa over 1.5 hii cheza kwa mechi timu kubwa tu zikiwa zinacheza na timu ndogo mfano Man U vs Cardiff hvyo yaani zikusanye jumla upate odd 2 unaweka Elfu 5! Usiwe na Tamaa hata ukila Mara 5 mfululizo usipandishe hiyo stake ya Buku 5 mpaka urudishe elfu 50 yako ndo utapanda kiwango utatia 10k kwa maelezo zaidi njoo pm


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji621] FREE MATCH FOR MY FANS
[emoji621] DATE: 31/1/2019
[emoji621] LEAGUE:GREECE
[emoji621] TIME: 16:15 GMT+1
[emoji621] MATCH:Crete Vs Atromitos
[emoji621] HT/FT:X/2
[emoji621] ODD: 7.20
[emoji621] SAFE:100%
[emoji471] MAXBET
[emoji3][emoji3][emoji3] kweli ni 100% safe!!
 
Back
Top Bottom