Mkuu Hali Ni tete.π±π±π±π±
Ngoja nianze kuinyemeleaMechi ya Girona GG 1H, hii ni Kwa wanaojivika mabomu tu.
Weka tuone.
Mbona Flash score inatoa notification papo hapo.Wakuu nahitaji App ya score inayoleta alert... Naona soccer away wameshindwa kazi, flash score ndio kabisa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kwangu ni taabuMbona Flash score inatoa notification papo hapo.
Dah mimi flashscore ni papo hapo hakuna kusubiri.
Weka 10000 upate 50000
Yaani nasumbuka nayo vibaya mnoDah mimi flashscore ni papo hapo hakuna kusubiri.
Naam,kabla ya yote,salam ziwafikie popote mlipo.Bila kupoteza muda baada ya kukaa na kutafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya maisha ya sasa na upatikanaje wa kipato,nimeona ni vema nijaribu bahati yangu huku kwenye mambo ya
kubet.Nimepokea vijisenti kiasi vya mwezi huu kutokana na kijikazi ninachokifanya.Na nimetenga 50K kwa ajili ya Risky Investment.
Kwa kuanza tu,nime-Install M-bet App,na tayari nimetandika jamvi la STAKE ya 10K.Panapo majaliwa baadaye nitakuwa milionea.
Wazee wa kubet nipeni maujuzi juu ya masoko mengine ya kuweka dau kama Overs na Unders!
[emoji3][emoji3][emoji3] kweli ni 100% safe!![emoji621] FREE MATCH FOR MY FANS
[emoji621] DATE: 31/1/2019
[emoji621] LEAGUE:GREECE
[emoji621] TIME: 16:15 GMT+1
[emoji621] MATCH:Crete Vs Atromitos
[emoji621] HT/FT:X/2
[emoji621] ODD: 7.20
[emoji621] SAFE:100%
[emoji471] MAXBET