Mapemaaaaaaa kabisa nishaweka jiwe la msingi.
Uzinduzi umefanyika muda huu.
Ni ID moja mkuu kwa hiyo ndo huyo huyoNaona Umerithi Mikoba ya P.didy [emoji23][emoji23][emoji23] Na P.didy akirudi Hapatatosha humu Ndani Patanukaa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Samahani kama nitakuwa nakuingilia lakini kama utaweza kunijibu si mbaya pia.. Kwa mwezi unakuwa na bundle yenye gb ngapi? Na unaweza kuangalia mechi ngapi kwa mwezi kwa makadirio (ukijumuisha na matumizi mengine ya internet)?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ye baba test ilikubaliSampdoria win @ 1.80
Huracan win @2.30
odds 4.14
namtest hivi baada ya muda mrefu nimeamini jasiri haachi asili
Naona Umerithi Mikoba ya P.didy [emoji23][emoji23][emoji23] Na P.didy akirudi Hapatatosha humu Ndani Patanukaa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu ni ID mojaIlikua reported juzi na ipo banned saiv
Mkuu ni ID moja
Mechi ya Rio Ave na Tondela naona kabisa ikitoa 2.5 Over Goals odds 1.9
Sijui nimjaribu tena
Safiii sana!Aisee...!!!View attachment 1010685
Kuwa mzalendo mkuuWakuu Game ya Kesho Simba apigwe Na Yapatikane magoli matatu, ina (1.92) .....
Pesa hiyoooo
Ukiachana Na Uzalendo ila Mimi Ni mshabiki wa Simba ila kwenye pesa ushabiki tunaweka pembeni...