Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hizi odds nahisi tunaweza kuzijutia kuzikosa baadae ...

 
Shida huleta maarifa.....nilitakiwa nifanye tafiti kabla sijaingia mkenge.....nimekoma kubet kwenye kampuni za nje zisizo na ofisi nchini....malipo wanapokea ila ukishinda hela yako kuipata cha moto utakiona...... 1xbet mnachonifanyia Mungu anajua ...imebidi niingie chimbo kuwafuatilia kumbe mko hivyo???
Resolved - 1XBet.com Problem
 
wamefanyaje mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…