Ingawa ya kumpa munich double chance bado kachana mkekaLeo germany wameondoka na hela yangu hawa borrusia dah 70k yangu wamesepa nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sawa na mimi.. Bayern Munich kachana mapemaaa
Mzee baba naona mpaka unakosa kuandikaa kila saa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]kanji sio poaaSema nimejifunza bora kunet mechi inplay sio direct win ni stress aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]Mzee baba naona mpaka unakosa kuandikaa kila saa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]kanji sio poaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba naona mpaka unakosa kuandikaa kila saa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]kanji sio poaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haa ha...pole mkuu!! Buddy nae kale kalaki akikaa vibaya atajutaa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Broo akili iliganda yani adi saivi siamini kilichotokea kwa bayern na hawa washenzi borrusia wameninyima hela ya kula wiki nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Haa ha...pole mkuu!! Buddy nae kale kalaki akikaa vibaya atajutaa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haa ha...pole mkuu!! Buddy nae kale kalaki akikaa vibaya atajutaa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumbe na wewe unasubiri 3.5 kama mimi.
Hahaha, nishaitoa long time na service ya gari nimeshafanya. Nmetoa filter, badili oil ... saafi kbs.
Nasubiri 3+ ya Al Ahly tu nivute 250K mkeka wa toka jana, maana nlikuwa nawasubiri AS Vita & All Ahly.
Hii weekend naona inaelekea kuwa nzr sn.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kushinda 1. Ujue tunafungwa leo bao nyingi hadi tushindwe kuamini.Umeona eeeh na hii mechi ya simba hii utashangaa warabu wanashinda 1 afu ngoma dakika 90 under 2.5
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani iwe hivyo japo tutapata aibu.
Kama umetoa safi mkuu maana..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha, nishaitoa long time na service ya gari nimeshafanya. Nmetoa filter, badili oil ... saafi kbs.
Nasubiri 3+ ya Al Ahly tu nivute 250K mkeka wa toka jana, maana nlikuwa nawasubiri AS Vita & All Ahly.
Hii weekend naona inaelekea kuwa nzr sn.
Sent using Jamii Forums mobile app