Kiukweli hii betting n kazi ngumu Sana watu wanaofanya seriously wanaona matokeo yake currently naambin mzee void anafanya yake sana big big up mzee ile mie upepo umenikataa lakin sio kivile chenchi za kupiga resi sikosi unanikumbusha mjamaa mmoja mzee wa Jiwe gizani Rene Jr huyu jamaa sijui Yuko saiz juz juz nikamuona mzee mwenzangu wa kusoma mzee wa kujilipua Kama Mimi ila ndo hvyo wakati wetu sio huu but tutarikava turudi huu n upepo, wap Root mzee wa over 1.5 mkeka bet alimweka kwenye list, nyegere, tpaul wazee wa makokoro mzee mr. Wise ye huwa hataki kuona T sh kwenye mkeka wake ye akiona usd n amani Kuna yule mdada kipindi hicho alikuwa ananogesha jukwaa cute b sijui saiz yupo wap
Buddy mzee sijakusau mzee watu tunapanga plan ya odds nne aday au
Mkeka lakin mpaka saiz tumefeli tunaliwa tuu return sio kiivyo
Mengi nahayo nlikuwa nakumbuka tuu Mana huyu muindi bila mipango kazi huwez mtoka kipindi nkile tulikuwa tunajilipua haswa ila mungu mkubwa uzima n afya. Tuendelee mapambano wazee haijalishi ila tusisahau kuwekeza wazee maana betting n Zaid ya unga.