kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,764
- 2,491
Nimewachelewa aisee wataalamu Wa kutema Pesa first half, tena wametema muda mzuri dakika 30+lazio wanaruka ruka tu nawadai magoli 2
Nataka kurusha ndoano kumbe ndio sababu wameblockHahaha, mpk wasemwe ndio goli linapatikana ...
View attachment 1013625
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, mpk wasemwe ndio goli linapatikana ...
View attachment 1013625
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mkuu.. Goa hawajakutenda kweli!!Nataka kurusha ndoano kumbe ndio sababu wameblock
Kidogo ila nimelipiza hahaaaa...Vipi mkuu.. Goa hawajakutenda kweli!!
[emoji3][emoji3][emoji3] fanya mpango na mimi nilipize.. ila Goa kaisha nitia woga.Kidogo ila nimelipiza hahaaaa...
Lazio ulimwachaje akapita Na hela first half.[emoji3][emoji3][emoji3] fanya mpango na mimi nilipize.. ila Goa kaisha nitia woga.
Akili ilikuwa bado ime-stack kwa kipigo alichonipa Goa fc.. ndo nimeamka muda huu...Lazio ulimwachaje akapita Na hela first half.
Duh.. wametuweza
hawa Pyramids wadau ni surprise package pale Egypt wamekuja kama Leicester ya RanielDuh.. wametuweza
Duh Yatakuwa maajabu 3-1 mpaka droo chakwanza..