Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Kweli aisee betting sometimes unaweza ukapigwa mpk ukafikiria kuachana na hii kitu. Ila ukijiuliza hela ambayo ameichukua, unapata imani unaweza irudisha na faida ukapata.
Ila nimegundua ukicheza "in play" au "live" una nafasi kubwa ya kupata pesa kuliko kusubiri mkeka.
Shida ya mkeka kuna mambo mengi yanaweza kutokea na kuinfluence matokeo ...
- Red card
- Penalty
- Lineups
- Majeruhi ya mchezaji tegemeo etc ...
Lakini in play unacheza ukishakuwa umejua trend ya mchezo (mfano shots on target, au timu flan wako pungufu etc)
Nafikiri tuwekeze zaidi InPlay, na sio mbaya ukawa na mkeka wa timu chache pembeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaweza tokea

Mkuu nipo [emoji111][emoji111][emoji111]
Hili ni Bomu ujivike kama una moyo mgumu 50/50View attachment 1013648
Tunajua kuandika hujui tumepotezea tuletee mkeka ulioshinda wiki hii au wiki Jana ila ukileta matusi usitegemee nikujibu.NILIKUWA SIJIBU SABABU NILIKUWA ANAHISI HURUMA NA HATA ZIKE HASIRA N SABABU YA KULIWA NILIAMINI.IPO.SIKU UTAYATOA YA MOYONI
NAKUPENDA KAMA.MKUU WANGU USIKATE TAMAA ZIPO PRINCIPAL ZA KUBET NA HIZI NDIZO ZINAWATESA WENGI SANA SANAAA
MOJA INAYOWAFANYA WATU MASIKINI WWKA SIKU.MAALUM ZA KUBET HATA KAMA.N BARCELONA ANACHEZA NA BIASHARA KAMA HAIPO KWENYE SIKUZAKO ZA KUBET USIGUSE UTALIA TU....
WEKA KIWANGO CHA KUTUMIA KWA KILA WIKI HIKI.KINAKUWEZESHA KUJUA KWA MWEZI UMETUMIA SH NGAPI UMEPATA NGAPI
TAFUTA SRC MAALUM.AMBAZO MOYONI MWAKO UNAIAMINI SIO KILA UNAZOONA UNATAKA KUCHEZA UTAONGEZEA KODI ZA MHINDI PALE KARIAKOO HAKUNA JINSI
KUAANA SRC 2-3 AMBAZO UMEANGALIA MATOKEO YAKE MWEZI MZIMA AMA NA ZAIDI CHEZA NAZO...
KAMA HIZI NINAZOWEKA KUNA MTU ANANIPAHELA ANAITWA KIUNG BREAKFAST NI 2+ ODDS LAKINI NACHEKA ASBH NACHEKA.MCHANA ANGALIA ZA LEO AABH NA MCHANA ZA JANA NA JUZI SIMAANISHI UMFWATE
KINGINE BETTING RAHA NI KUONDOA TAMAA UTABET KWA RAHA SANA SANA MPWA WANGU
WENGI MNAOBET ODDS KUBWA MOSTLY MNAMCHANGIA MHINDI NAELEWA SHIDA YAWEZA KUWA N MTAJI LAKINI UKIANGALIA NYUMA TU HIZI BRKGAST TIPS WIKI SASA ZINA WINI MNS UKIANZA HATA NA 4000. MNS SIKU YA SITA LEO UNA 48" 000MIN...SO JITAHIDI KUPUNGUZA WINGI WA TIMU KUZOEA ODDS NDOGO NAAMINI WATOTO WANAHITAJI ADA NA NDIO MAANA BKAWAKIMYA NILITAMAN NIWASILIANE NA WEWE NIJUE SHIDA IKO WAPI KWA MSAADA ZAIDI UNAWEZA NIULIZA SAA YOTOTE
MUCH LOVE YALIOPITA SINDWELE TUGANGE YAJAYOOO KUNA MEMBER KAMA MILLIONAIRE MPWA WANGU HUYU HATA AALALAMIKE NAMKUMBUSHA INBOX ZAKE NAOMBA SRV ZA MATAKATAKA TIPS ANAKÀ KIMYA YAKAPITA
NAKUOMBA RADHI KWA MANENO YALIONGELEKA KWAKO KWA KUJUA KWA KUTOKUJUA TUUNGANE KUMPAAUA MHINDI
RGDS MPWA BASDIDY
Hapana Mkuu, usiiweke, japo naheshimu sana mawazo yako. Tauari game INA 2+
80%
Hatari wanaweza toka draw eeh???