Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,731
- 3,527
SUNGUSUNGU PREMIUM TIPS
Mexco
M. Zacatecas - Lobos BUAP
Tip1 @2.42
Mexco
Cimarrones De Sonora - Altamira
Tip 1 @ 2.20
MAIN VIP TIPS
France
Guingamp vs Lyon
Tip Over2.5@1.75
Italy
Lazio vs Empoli
Tip Over2.5@1.55
Club Friendly
Viking vs Nest-Sotra
Tip BTTS @ 1.50
________
BONUS
India
East Bengal Vs Neroca
Tip Over 1.5 @ 1.30
France
Guingamp – Lyon
Tip BTTS @ 1.75
Greece
Atromitos vs AEK Athens FC
Tip HT X @ 1.90
Mpwa Pdidy nipe sungusungu la usiku.
Mbona hajampa mmoja wapo ushindi hapo ni over 2.5 na both team to score
Hahaaa ,wale ni wachawi wa betting aiseeeHawa 1xbet wanaruhusu kubet mpaka hali ya hewa. Aisee
BTTSA GG OR BOTH TEAM TO SCORE
Pesa hiiLeo ni siku nyngne tena ya kujaribu bahati ...
View attachment 1016094
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu jana mlizani namuonea wivu void sasa kwa taarifa yenu void katoroka kwao hayupo anatafutwa na awajajua yuko wapi lkn ktk mitandao yakijamii yuko online but nyumbani kwao hawajui jamaa yuko wapi hadi sasa
Cwez tu sema vtu visivyo na nazani nitawapatia ushahidi wa aya ndipo mtapo kuja gundua hali ilivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilishindwa namna ya ku-deposit kwa hao 1XbetHawa 1xbet wanaruhusu kubet mpaka hali ya hewa. Aisee
Emu uchunguze huu mkeka kwa makini
Utaona kwamba hela zipo sema hatuzipatii target za maana..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi hawa 1xbet ni wazima kweli? Mechi 2 sub ya kwanza itokee kipindi chapili.. Odds 2.85
Inamaana kwa 190,000 unamenya 540,000 duhView attachment 1015956
Sent using Jamii Forums mobile app
Sub first half, sub during break time, sub second half. Kabla hatujatupia mkeka inabidi tuzielewe options kwanza.Emu uchunguze huu mkeka kwa makini
Utaona kwamba hela zipo sema hatuzipatii target za maana..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi hawa 1xbet ni wazima kweli? Mechi 2 sub ya kwanza itokee kipindi chapili.. Odds 2.85
Inamaana kwa 190,000 unamenya 540,000 duhView attachment 1015956
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo pm nikuelekeze namna ya kuweka pesa kwa localbitcoinMimi nilishindwa namna ya ku-deposit kwa hao 1Xbet
Ngoja sungusungu akuone na hizo green ,hahhaahaaa,hapendi ziwatokee watuNi dhambi kubet kwa tamaa... Odds 2 zinakupa pesa ya kodi safi.... Ila sisi tunataka odds zaidi ya 10 halaf unaweka buku... Tuweke mizigo ya maana ndugu
Mimi na 1xbet... Hadi kucheleeeView attachment 1016159View attachment 1016160
Sent using Jamii Forums mobile app