Watu waoga hawafuati hata uwekeKwa wale mnaopost winning tu, jamaa sio kwamba tuonaona wivu hapana hicho nikipawa chako cha ku-predict even though it will depend on day ila ni vizuri mkawa mnapost mikeka yenu kabla ya winning. Maisha kusaidia na isitoshe sisi sote wabantu wa kitanzania hatuna undugu na kanji.
Pia hata wazee wa live, kama vipi wewe andika tu kwa kiufupi wakufata waufate wenye kupotezea watauache.
Note: Sio uufate mkeka wa mtu ukichanika then uwanze kumtolea lugha ya ghazabu hiyo sio fresh. Ushirikiano muhimu.
Hahaaaaa.... Aiseee...!!!View attachment 1021823
Limelipuka hili Bomu au uliscratch ukaachana na hili wazo?Hahaaaaa.... Aiseee...!!!View attachment 1021823
Hahaaaaa.... Aiseee...!!!View attachment 1021823
Wengine hata ukileta wanabaki kukosoa tu ila ukipost green wanateseka. Yaani mtu unajipinda huko unaleta possible halafu jitu halifauti likiona green linaanza kulalamika. Shida kuna watu wanataka tuliwe wote kitu ambacho ni impossible.

Pia nilichogundua humu ndani kuna mawakala wapo Kwa kazi maalumu. Kama akina soka255 au Kwa ID nyingine ni Sungusunguu hapatani Na green humu ila akikuta kilio anafurahi kweli. Aiseee...!!!
mi mdau wako sana sema nakukimbiza kimya kimya tu weka vitu nipambambane na kanji mwanzo mwishoWengine hata ukileta wanabaki kukosoa tu ila ukipost green wanateseka. Yaani mtu unajipinda huko unaleta possible halafu jitu halifauti likiona green linaanza kulalamika. Shida kuna watu wanataka tuliwe wote kitu ambacho ni impossible.
Pia nilichogundua humu ndani kuna mawakala wapo Kwa kazi maalumu. Kama akina soka255 au Kwa ID nyingine ni Sungusunguu hapatani Na green humu ila akikuta kilio anafurahi kweli. Aiseee...!!!
Tupia tu mkuu zinaleta motivation kwa mwenye akili anajifunza kituWengine hata ukileta wanabaki kukosoa tu ila ukipost green wanateseka. Yaani mtu unajipinda huko unaleta possible halafu jitu halifauti likiona green linaanza kulalamika. Shida kuna watu wanataka tuliwe wote kitu ambacho ni impossible.
Pia nilichogundua humu ndani kuna mawakala wapo Kwa kazi maalumu. Kama akina soka255 au Kwa ID nyingine ni Sungusunguu hapatani Na green humu ila akikuta kilio anafurahi kweli. Aiseee...!!!
SINGLE
MKUUUUUUU ANAARIBU MARKET ZAO NAWENGI WAMEKMBIA MAGRP YAO YA KUUZA TIPS NA SASA WANASONGA NA NYOTA YA JFTupia tu mkuu zinaleta motivation kwa mwenye akili anajifunza kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaa halafu Na viodd vyake sasa.Kuna timu zingine hazifai[emoji23][emoji23][emoji23] over 0.5 kagomaView attachment 1021827
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee... Watu wanaishi Kwa kuuza tips hatari. Sasa soko si limekuwa huria, wanateseka nini sasa.MKUUUUUUU ANAARIBU MARKET ZAO NAWENGI WAMEKMBIA MAGRP YAO YA KUUZA TIPS NA SASA WANASONGA NA NYOTA YA JF
KIBAYA HAO HAOOOO SOKA 200+ WANATOA TIPS HUKU WANAPELEKA MAGRP YA KUUZA ..
YYAJAYOOOOOOOOYANAFURAHISHASNAAA
Nawashangaaaa wanaaaaaaa umiaaa kama waja...Aiseee... Watu wanaishi Kwa kuuza tips hatari. Sasa soko si limekuwa huria, wanateseka nini sasa.