maxbetEUROPA
Slavia Prague vs Genk
Away Win Either Half
EUROPA
Zurich Vs Napoli
Away Wins either half
EUROPA
Malmo Vs Chelsea
Away Wins either half
Nyongeza: Ni vyema mtu akaweka mkeka aliolipia ili kujenga imani. Japo wengine simu zetu haziruhusu kupost mikeka.Kwa wale mnaopost winning tu, jamaa sio kwamba tuonaona wivu hapana hicho nikipawa chako cha ku-predict even though it will depend on day ila ni vizuri mkawa mnapost mikeka yenu kabla ya winning. Maisha kusaidia na isitoshe sisi sote wabantu wa kitanzania hatuna undugu na kanji.
Pia hata wazee wa live, kama vipi wewe andika tu kwa kiufupi wakufata waufate wenye kupotezea watauache.
Note: Sio uufate mkeka wa mtu ukichanika then uwanze kumtolea lugha ya ghazabu hiyo sio fresh. Ushirikiano muhimu.