Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Natumia SofaScore apk kupata stats!

Mfano;-
Game hii ya Perth vs Adelaide
Hapo total ni 178..picha ya kwanza

Sasa basi naenda kwenye stats naangalia total points kubwa zaidi kati ya hizo timu mbili kwenye game 10 walizocheza...picha ya pili

Then nachukua wastani wa point kubwa na ile waliyowahi kucheza wao kwa wao yaani
196 + 180 =3 76

376/2= 188

Sasa basi 188 kwangu naichukulia ndio upper limit ya points zitakazoweza kufikiwa..

.hapo napata picha kwmba hiyo game haiwez kuzidisha points hizo...

Basi natafuta odds zinazokuwa chini ya hapo naweka tego..

Naamini utajifunza kitu, japo sisemi hii mbinu ina uhakika 100% ila kwa risechi niliyofanya kwa game chache, haijaniangusha...

Kazi kwako
View attachment 1023993View attachment 1023995

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitaijaribu hii njia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimejichimbia nafanya mashambulizi ya kushitukiza kwa mhindi kwa over tu, aisee kuna maajabu si mchezo. Unakuta mechi i dakika ya 39 na hawana goal, basi unategeshea over 0.5 yenye odd ya 3.8. Ile unajishauri kubonyeza buton ya nyuklia unakuta GOALLLLL, yaani mpaka moyo unalipuka.
 
Back
Top Bottom