Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo nimejichimbia nafanya mashambulizi ya kushitukiza kwa mhindi kwa over tu, aisee kuna maajabu si mchezo. Unakuta mechi i dakika ya 39 na hawana goal, basi unategeshea over 0.5 yenye odd ya 3.8. Ile unajishauri kubonyeza buton ya nyuklia unakuta GOALLLLL, yaani mpaka moyo unalipuka.
Hiyo nzuri Mkuu, ukiliwa mbili ukila moja umerudisha stake uliyoliwa Na faida juu.
 
Liwalo na Liwe.
Screenshot_2019-02-16-14-21-49-051_com.bet365Wrapper.Bet365_Application.jpeg


Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom