Natumia SofaScore apk kupata stats!
Mfano;-
Game hii ya Perth vs Adelaide
Hapo total ni 178..picha ya kwanza
Sasa basi naenda kwenye stats naangalia total points kubwa zaidi kati ya hizo timu mbili kwenye game 10 walizocheza...picha ya pili
Then nachukua wastani wa point kubwa na ile waliyowahi kucheza wao kwa wao yaani
196 + 180 =3 76
376/2= 188
Sasa basi 188 kwangu naichukulia ndio upper limit ya points zitakazoweza kufikiwa..
.hapo napata picha kwmba hiyo game haiwez kuzidisha points hizo...
Basi natafuta odds zinazokuwa chini ya hapo naweka tego..
Naamini utajifunza kitu, japo sisemi hii mbinu ina uhakika 100% ila kwa risechi niliyofanya kwa game chache, haijaniangusha...
Kazi kwako
View attachment 1023993View attachment 1023995
Sent using
Jamii Forums mobile app