Tayari kasha fanya yakeMkuu, Hapo Kwa Victoria ubane haswaa
Baada ya kutaabika na combo nimefikia maamuzi yafuatayo:ntacheza single tu daima kuanzia odd 1.5 sichanganyi na nyingine na dau langu litaanzia elf kumiBasket ntaikimbia karibuni.......presha tupuView attachment 1025121
Mayu eee we n balaaa tips hiii imenifurahishaa Sana'a aisee naliwa moja nakula nne ha ha ha asante aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kutaabika na combo nimefikia maamuzi yafuatayo:ntacheza single tu daima kuanzia odd 1.5 sichanganyi na nyingine na dau langu litaanzia elf kumi

Randers naye amezidi uchawi