Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,702
- 2,287
Nadhan tumeanza kuelewana Sasa. Man u Sasa hivi hawafai Chelsea ndo kawa mtori Tena usio na nyama. Watu badala waangalie team iko kwenye form gan wanaangalia historia. Hapo ndo mtajua kwanini muuza mkaa haogagi mchanaHistoria haichezi mpira nasema hivi dunia itashaa na watu watajutia hzo odd za Man U . Chelsea kwa sasa syo wazuri sana lakn Man u tokea super sub- oleguna sokja kaja wako kwenye form sana. NASEMA HIVI MM NI SHABIKI WA ARSENAL LAKINI MAN U WASIPOSHINDA LEO NAACHA KIANZIA LEO KUINGIA JF. man u lazma ishinde haiwezi kukubali kufungwa leo na mkumbuke msimu uliopita man u walifungwa na chelsea final ya FA leo . Nasema hivi CHELSEA ANALALA LEO
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mkuu hela yako unaitupa bure kabisa
GG N OV 2.5 MAN U MAXB
πππHii inaitwa kubet kwa mahaba mkuu [emoji38][emoji38][emoji38]
Dortmund hajapata goli mpaka sasa.Anayebisha hyo haiwi green ajifanye anajikuna anaimbie nlichoweka hapo haiwezekani.View attachment 1025960
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mpuuzi anataka kuniliza usiku huu..
Hatimaye tuliojitoa mhanga kumwua chelsea tumefanikiwa