SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,451
Hatimaye niliahidi Man u akifungwa na Chelsea Leo naaga JF kuanzia Leo.lakn kutokana Man u kashinda Kama nilivyo ahidi acha niendelee kuandika 4 JF na kujisifu kwa nilichokiaminiHistoria haichezi mpira nasema hivi dunia itashaa na watu watajutia hzo odd za Man U . Chelsea kwa sasa syo wazuri sana lakn Man u tokea super sub- oleguna sokja kaja wako kwenye form sana. NASEMA HIVI MM NI SHABIKI WA ARSENAL LAKINI MAN U WASIPOSHINDA LEO NAACHA KIANZIA LEO KUINGIA JF. man u lazma ishinde haiwezi kukubali kufungwa leo na mkumbuke msimu uliopita man u walifungwa na chelsea final ya FA leo . Nasema hivi CHELSEA ANALALA LEO
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee huyu borrusia naye ungempa double chanceAnayebisha hyo haiwi green ajifanye anajikuna anaimbie nlichoweka hapo haiwezekani.View attachment 1025960
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa tamu mkuu sanaAisee huyu borrusia naye ungempa double chance
Lakn ndo maana tunaambiwaga betting nzur n unaweka mzigo mechi moja unaendelea kula fegiAisee huyu borrusia naye ungempa double chance
Aisee...!!!
Na nilimuamini Sana maana alimpiga hyo jamaa juzi Kati 7-0 hvyo nkajua hata asipofunga magoli mengi Basi hata1-0Aisee huyu borrusia naye ungempa double chance
boooooooommmmmmm
Kwa kweli...aisee!!!Lakn ndo maana tunaambiwaga betting nzur n unaweka mzigo mechi moja unaendelea kula fegi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa.. Hazikupasuka Mkuu???
Kuweka zaidi ya tmu moja n hatar Sana kwa afya ya mbetigi.Kwa kweli...aisee!!!
wayawayawa
Na hatimaye zimetoa manina, yaani nimeshuka na chelsea jumla jumla (in Agrey Mwanri voice)Liwalo na liwe. siwezi kuacha odds nene kiasi hiki nikaishia kutoa udenda tu.
View attachment 1025982
void=empty=pdidyUNAPENDAAA ZA MWANAUME.MWENZIOOO
KONKIII KONKII MASTER NJOO HUKU PIGA KAZI HIOOO
And we said it beforeHizi odd za Man U tutazikumbuka badaye!!View attachment 1025952