Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah mm bado sjajua kama watu wapo serious na betting au vipi.yaan kweli mtu tmu ina odd 1.2,1.3,1.4 au hata 1.9 kweli mtu anaweka buku apate 1900 mbona hayo n masihara?au kuna wengine wanabett kujifurahisha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine ndio tumejua hii fursa muda mfupi uliopita.
Learning about betting ni MUHIMU SANA. Tunajifunza toka kwa experienced colleagues, tipsters, betting companies, and LITTLE PRACTICE.
 
Hakuna kulala
IMG_20190219_051930_866.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za leo ndugu zangu,nina imani mu wazima,naomba kuuliza kidogo kuhusu laini ya safaricom je naitumia kwenye account ya 1xbet ya zamani au ni lazima kufungua account mpya? naomba majibu tafadhali

unatakiwa ufungue account mpya mkuu, unatakiwa ufake location kwa kutumia vpn
 
Mkuu kama kesho jioni kutakua na live nzuri usicheze mbali tutapeana tu kitakachotokea
nipe mwanga kidogo mdau.. pale xbet mbona wametoa njia za malipo za kibongo.. tunatumia njia gani saivi
 
Bank kuu wame ban malipo kutoka makampuni ya kamari ya nje kutidhibiti money laundry aka utakatisha wa fedha haramu
Tumia Bitcon au Safaricom ya kenya
nipe mwanga kidogo mdau.. pale xbet mbona wametoa njia za malipo za kibongo.. tunatumia njia gani saivi
-
 
Back
Top Bottom