Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

#void=empty
 

Attachments

  • Screenshot_20190219-005624.png
    Screenshot_20190219-005624.png
    24.3 KB · Views: 40
Unakuja kupost mikeka ya juzi walioshinda wenzio kwenye group lako la wasapu [emoji38][emoji38][emoji38]

We jamaa kolo kweli
Hahaaa bora Mkuu umemshtukia nilitaka nishangae huo ujasiri wa kuweka 4500 ameutoa wapi??? Kumbe anacopy walioshinda wateja. Hahaaaa. Aisee eee!!!
 
void=empty
void=empty
void=empty=pdidy
Mzee endelea tu kusajili line za sim mitaani na kuwaibia wateja atleast upendezeshe getto ilo maana ume kaa kichawi chawi kweli ukiingia tu jukwani unaleta nuksi!!


Sikushangai kama unamo ishi ndo umo peusi peusi kama chumba store ya kuhifadhia magunia ya mkaa basi we endelea ku hate tu maana maskini ata endelea baki maskini na alie pewa kapewa na ata zidishiwa zaidi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38][emoji38]
Kwanini mkuu?

Ukiizoea inplay ni tamu

Sasa hebu angalia huo mkeka nimeweka toka asubuhi, nimekaa na preasure hadi saa 6 usiku na bado Dortmund kaleta ukolo nimepigwa

Inpaly ndani ya 20min unacheka au unalia basi
mzee wa Under...
nilijaribu juzi hio pressure nliopata sitaki tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom