soka255
JF-Expert Member
- Sep 3, 2018
- 1,860
- 1,321
Maraia wa kule wana roho ngumuHiv mimi huyu kweli nijikaze nimpe Man U half et nijitoe zaid ufaham niweke droo mech ya dortmund...mimi huyu mm hapanaView attachment 1026243
Sana chief...jamaa cjui ni wanapga ramli
Sema madogo wanaobuluza mkia huwa wanasumbua sana...Sana chief...jamaa cjui ni wanapga ramli
Shida mkuu maelezo yake kuandika hapa ni marefuMsaada mkuu jinsi ya kununa bitcons na kudeposit 1xbet
Nime register kote tayari ila naona maluelue nahitaji mwongozo kidogo tu mkuu
nimetoa mikeka 4 yenye odds zaidi ya mia kila mmoja kwa shobo zangu nikampa dortmund kila mkeka nikiamini anaua mtu nimeumia sana yan ndio nishamuweka kushoto huyoDortmund anakula life ban yani Manchester ashinde na odd zile alizokuwa nazo yeye ndo aniharibie dah niliumia sana asee ila fresh
Sent using Jamii Forums mobile app
void=empty=all in oneNi pm nikuelekeze gheto uwe na heshima kwa wanaume[emoji16][emoji16][emoji16]