FRUIT TREE
JF-Expert Member
- Jun 7, 2018
- 701
- 840
Copied and pastedKwa wale wanaopenda kujua jinsi ya kudeposit 1xbet kwa njia ya Bitcoin. Kuna mdau ameniuliza huko chemba, sio mbaya nikashare hapa pia.
Duuh maelekezo ni marefu kidogo, ila nitajitahidi ...
Jinsi ya kununua bitcoins.
1. Tengeneza account kwa ajili ya kuuza au kununua bitcoins hapa - LocalBitcoins.com: Fastest and easiest way to buy and sell bitcoins
2. Ukishakuwa na account, login then nenda sehemu imeandikwa "Buy bitcoins"
3. Weka kiasi unachotaka, chagua TZS then sehemu ya "All online offers" chagua aidha M-Pesa Tanzania ama Tigo Pesa (... inategemea unalipia kwa mtandao gani) halafu click Search.
4. Watatokea mawakala ambao wanauza na kununua bitcoins. Chagua yeyote then click Buy. Mimi mara nyingi namtumia Mallya1980 ama Felibiogeort ... hawa wako fasta sn kukuhudumia.
5. Ukishamchagua mmoja wapo kwa kuclick "Buy" pembeni ya jina husika, muda mfupi watakutumia ujume wenye namba ya wakala ili utoe hiyo pesa kwa njia ya kawaida ya kutoa hela kwny m-pesa ama tigo pesa.
6. Ukishatoa, chini ya sehemu ya kuandika ujumbe utakuta kuna button "I have Paid". Click hapo ili kumfahamisha kuwa umeshalipia.
7. Akishaconfirm km umeshalipia, atakuwekea bitcoins kwny Wallet yako. Yani ukiclick wallet kwenye account yako ya bitcoins utakuta kuna namba fulani zimewekwa (ndio bitcoins zenyewe)
Mpaka hapo unakuwa umeshanunua Bitcoins.
Jinsi ya kudeposit kwenda 1xbet sasa ...
1. Click "Top up account" kwenye 1xbet kama kawaida.
2. Kwenye "Types of payment systems", nenda kwnye "Cryptocurrency" then click Bitcoin
3. Utapata bitcoin address (muunganiko wa namba na herufi), pembeni yake kuna option ya ku-copy ... click hapo ili uicopy hiyo address
4. Rudi kwenye account yako ya Bitcoin, click wallet then this time click "Send bitcoins"
5. Sehemu ya "Receiving bitcoin address" weka address uliyoicopy kwny step namba 3 hapo juu.
6. Amount in bitcoin, itakuja automatically ... huhitaji kujaza chochote.
7. Description sio lazima, sehemu ya amount utaona amount ambayo itatumwa kwenda kwenye address uliyoiweka (i.e. 1xbet).
8. Click Continue.
9. Utaambiwa uweke password ya bitcoin account ili kuconfirm. Na hapo utakuwa umemaliza mchakato.
NB: Inachukua kuanzia dk 5-45 kwa amount kuingia kwny account ya 1xbet.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishakuwa na account localbitcon ingia buy kwenye site ya localbitcoin tafuta wabongo wanaouza bitcoin wanakupa namba za uwakala aidha tigo voda airtel una withdraw una confirm kisha wanakuhamishia kwenda kwenye bit coin account .Jamani naomba msaada nimekwama
Nimeisha fungua acc 1xbet na nimeisha fungua acc LocalaBitcoins.com
Naomba muongozo ufuatao
Natumia mpesa, ntanunuaje bitcoins na kianzio cha chini kabisa ni sh ngapi?
Pili je nita deposit vp hizo bitcoins kwenda 1xbet
Msaada tafadhali wadau nataka niwajaribu warusi naona muhindi ananisumbua
ni kweli mkuu usifuate maneno ya kina pdidy na wenzakeHivi hawa jamaa wanaosema wanauza fixed games ni kwel hayo mambo yapo au ni upigaji pesa tu
tips za fixed zinalipa kuliko kawaida...nicheki inbox nikupe maelekwO
Wapi mkuu tusaidiane source mana mi naamini zipo VIP apps na nimeona ambazo zinauza tips na hua zinatoa...kugoma ni mara chache mana nao ni watu tuu
TAPELIIIIIIII LA JF LAAAMUA KUJIANIKAAA UTATOLEWAA...NANIIINOOO USIPENDEE VYA WATUUU ovyoooniliwambia mje inbox niwauzie tips kwa bei chee mkaona dili aya sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
HATIMAEEEEEE TAPELIIII LA KUUUZA TIPS ZA JF LAAAMUA KUJIANIKAAAtips za fixed zinalipa kuliko kawaida...nicheki inbox nikupe maelekwO
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka stake Kubwa utusue we mwenyewe kuliko kuuza bei sawa na bure [emoji23]
tips za fixed zinalipa kuliko kawaida...nicheki inbox nikupe maelekwO
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu m kuna app km mbili tatu ivii nazifahamu wanauza vip na nimejarb kuwafwatilia nying zinatoa n mara chache sn wanafeli yaan kiasilimia 80 inatoa 20 wanafel mkuu sema wanauza kuanzia ussd 80 mpaka 100 kuna kuwa n timu nne tu unaeza ukakuta odds adii 1200 or 800 n zinatoaaaWapi mkuu tusaidiane source mana mi naamini zipo VIP apps na nimeona ambazo zinauza tips na hua zinatoa...kugoma ni mara chache mana nao ni watu tuu
SHETANIIIII KAAMUAAAAA KUJIUMBUAAA MDA UMEFIKA YATAONDOKA MMOJA MMOJA BADO MAWILI ....MTAUZA MKAA MWAKA HUU AIBU WANAUME WAZIMA MTALIWA....Weka stake Kubwa utusue we mwenyewe kuliko kuuza bei sawa na bure [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
VP tena mkuu?SHETANIIIII KAAMUAAAAA KUJIUMBUAAA MDA UMEFIKA YATAONDOKA MMOJA MMOJA BADO MAWILI ....MTAUZA MKAA MWAKA HUU AIBU WANAUME WAZIMA MTALIWA....
Yah zipo za hivyo ila saiv na maish yalivyo, kuna high level ya internet Scamming...kuna wapo kikaz kweli na wengn ni scamming tu *utapeli*Mkuuu m kuna app km mbili tatu ivii nazifahamu wanauza vip na nimejarb kuwafwatilia nying zinatoa n mara chache sn wanafeli yaan kiasilimia 80 inatoa 20 wanafel mkuu sema wanauza kuanzia ussd 80 mpaka 100 kuna kuwa n timu nne tu unaeza ukakuta odds adii 1200 or 800 n zinatoaaa
Sent using Jamii Forums mobile app