Kwanini usicheze wewe hizo tips na Kupiga mpunga?Hakuna kitu kinaitwa FIXED kingekuwepo watu wasingeuza wangetumia kwa manufaa yao na kumfirisi Mhindi au Mrusitips za fixed zinalipa kuliko kawaida...nicheki inbox nikupe maelekwO
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi huwa Siamini hii kitu inaitwa FIXED Match naamini mpira ungekuwa hauna thamani mana Matokeo tayari yanajulikanaKwanini usicheze wewe hizo tips na Kupiga mpunga?Hakuna kitu kinaitwa FIXED kingekuwepo watu wasingeuza wangetumia kwa manufaa yao na kumfirisi Mhindi au Mrusi
Yeah Upangwaji wa matokeo huwa unatokea mara moja moja sana sababu hizi gambling company kuwepo eg. Juve kule italia, tukio la yule jamaa kula andazi kule UK nk, ila iyo haihalalishi kusema eti basi kila siku kutakua na fixed games na watu wakawa wanazijua na kuuza tips.....BIG NO!! kama zingekuwepo hizo fixed games, trust me hao watu wangeminya nazo kimya ili wasistukiwe na wangepiga pesa wao kimya kimyaHata mimi huwa Siamini hii kitu inaitwa FIXED Match naamini mpira ungekuwa hauna thamani mana Matokeo tayari yanajulikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini usicheze wewe hizo tips na Kupiga mpunga?Hakuna kitu kinaitwa FIXED kingekuwepo watu wasingeuza wangetumia kwa manufaa yao na kumfirisi Mhindi au Mrusi
Sure Mpwa!!Atawaokota misukule tu sio wanaojitambuaTAPELI HUYU WA.MIAKA.MINGIIII ALIKA KIMYA NAONA AMERUDI NILIMTIBUAGA SANA NA MAWHATSUP YAKE ENZI HIZO ANALETA HUKU JOINED VIP MARA FXD NKANZA DONDOSHA MIZIGO AKANZA KUTUKANA SANA INBOX KQANGU HANA JIPYA
NNIKUWAHIMIZA MEMBERS KIMBIENI FXD N UTAPELI TZ HAPA WAMWJAA WAHUNI MAGUMASHI NJAA TUMBONI
Duh What a miss!!Uliweka stake ipi, maana hata ya elfu 10 hapo
Duh What a miss!!Uliweka stake ipi, maana hata ya elfu 10 hapo
Sure Mpwa!!Atawaokota misukule tu sio wanaojitambua
Thanx mkuu tayari nimefanikiwaChief nimekutafutia post namba 191937 kila kitu kimewekwa hapo. Hiyo post inajitosheleza kila kitu
Tayari mkuu,Ukishakuwa na account localbitcon ingia buy kwenye site ya localbitcoin tafuta wabongo wanaouza bitcoin wanakupa namba za uwakala aidha tigo voda airtel una withdraw una confirm kisha wanakuhamishia kwenda kwenye bit coin account .
Baada ya dakikia 10 hivi mzigo unasoma kwenye account yako kisha nenda 1xbet ingia topup via bit coin kuna address wanakupa unaikopi then unarudi kwenye bit coin account Una weka ile address na kiasi cha pesa unamaliza baada ya dakika kama 10 mzigo unasoma 1xbet
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
Vuta subira itasoma tuThanx mkuu tayari nimefanikiwa
Ila bado wallet ya 1xbet haijasoma bado na ni zaidi ya dk 20
Nimecopy link yao nikai paste LocalaBitcoins
Mzigo ushatoka wallet ya Locallbitcoins ilabado haujafika wallet ya 1xbet
Inachukua muda gani?
70mins
inplay GO GHAR FT UND 2.5 MAXB HELA ZOTE