70mins
inplay GO GOHAR FT UND 2.5 MAXB HELA ZOTE
Ni dakika 5 hadi 45 na itakapoingia itasoma Tshs. cha msingi fuata maelekezo hapo juuWakuu, kwa wanaodeposit 1xBet kwa kutumia Bitcoins, inachukua muda gani fedha kutoka kwa Bitcoins Wallet kuingia kwa 1xBet Account?
Na pale kwenye account yangu ilikuwa inasomeka Tzs, hizi Bitcoins zitapoingia zitasomekaje?
Ama natakiwa kubadili Settings?
Msaada Wakuu.
Mkuu mimi nimefanikiwa kudeposit muda si mrefu baada ya kupitia maelekezo ya wadau humu.... Kwangu mimi imechukua km dk 20 hivi kuingia kutoka account ya bitcoin kwenda 1xbet na kuhusu thamani yake ni kwamba pale kabla hujaclick "Continue" wakati unasend kuja 1x account ni lazima iwe converted kuja Tshs so itakuandikia kabisa kwamba una salio la bitcoin kadhaa, exchange rate ni ngapi per bitcoin moja na kwa salio ulionayo unaweza kusend hadi Tshs ngapi kwahiyo mzigo utakaituma 1x utaingia interm of TSHSWakuu, kwa wanaodeposit 1xBet kwa kutumia Bitcoins, inachukua muda gani fedha kutoka kwa Bitcoins Wallet kuingia kwa 1xBet Account?
Na pale kwenye account yangu ilikuwa inasomeka Tzs, hizi Bitcoins zitapoingia zitasomekaje?
Ama natakiwa kubadili Settings?
Msaada Wakuu.
Sawa Mkuu, Shukrani kwa majibu.Ni dakika 5 hadi 45 na itakapoingia itasoma Tshs. cha msingi fuata maelekezo hapo juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Saws Mkuu, ila Mimi sikuziconvert, sijui kama zitafika 1xBMkuu mimi nimefanikiwa kudeposit muda si mrefu baada ya kupitia maelekezo ya wadau humu.... Kwangu mimi imechukua km dk 20 hivi kuingia kutoka account ya bitcoin kwenda 1xbet na kuhusu thamani yake ni kwamba pale kabla hujaclick "Continue" wakati unasend kuja 1x account ni lazima iwe converted kuja Tshs so itakuandikia kabisa kwamba una salio la bitcoin kadhaa, exchange rate ni ngapi per bitcoin moja na kwa salio ulionayo unaweza kusend hadi Tshs ngapi kwahiyo mzigo utakaituma 1x utaingia interm of TSHS
Sent using Jamii Forums mobile app
System Yenyewe tu itaconvert huitaji kuhangaika wewe, unachofanya wewe ni kujaza tu amount ya pesa unayoituma kwenda 1x bet KULINGANA na salio ulionayoSaws Mkuu, ila Mimi sikuziconvert, sijui kama zitafika 1xB
Shukrani Mkuu, hela imeingia 1xBet.System Yenyewe tu itaconvert huitaji kuhangaika wewe, unachofanya wewe ni kujaza tu amount ya pesa unayoituma kwenda 1x bet KULINGANA na salio ulionayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Adam Salamba anaifungia Simba bao la pili dakika ya 45. African Lyon 0-2 Simba SC.Wale washabiki wa Simba hii si fursa hii; weka mzigo wako wote...!
View attachment 1026413
Juventus-bet@hotmail.com Pia wachek Google Juventus betFredy Frank360 naomba jina la hizo vip apps
Kampuni gani mkuu ilikuwa na odds hizo?Wale washabiki wa Simba hii si fursa hii; weka mzigo wako wote...!
View attachment 1026413
Exactly, hata mimi nimeona hicho kitu Makato ni Makumbwa mno imagine nilikua na 6443 kwenye Tigo pesa nikadeposit 5000 kwenda BTC account nikakatwa 850......,Then ktk hio 5k niliodeposit nikasend tena kwenda 1x nikaambulia 4070Tshs duh hapo nimelost karibia buku nzima tena Aisee huenda hii Ikawa Mwisho kutumia njia ya BITCOIN kudeposit 1Xbet maana najaribu kuimagine pesa ikiwa kubwa na hayo Makato yote si itakuwa sawasawa na hasara tupuShukrani Mkuu, hela imeingia 1xBet.
Ila system ya Bitcoins ina makato makubwa sana.
Nimefanya majaribio kwa kutuma Tsh 2,000 kwenye wallet yangu ya Bitcoins, kutoka M-Pesa hadi Bitcoins wallet nimekatwa 350, fedha iliyofika 1xBet ni Tsh 1364, inamaana Bitcoins wamekata 636.
350+636=986.