Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ivi hawa sportspesa hawawekagi mechi za tanzania, coz nimecheki mechi ya Lyon vs simba dakika ya 30 ilikuwa 0-0 ili nimpe simba ashinde sikuiona aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli Mkuu ila sasa utatumia njia gani?
 
Kuna mwanaume kasema liverpool anatoboa leo....Tips kibao wamempa liver...Tusishangae bayern akaondoka na advantage ugenini
 
Naomba mawasiliano ya yule muheshimiwa anayeweze kunipatia laini ya safaricom inahitajika moja niko Arusha mjini

Sent using Jamii Forums mobile app


Tenga nauli ya Namanga nenda Rudi lain inauzwa ksh 50 kwenye duka la Safaricom mtaan n kuanzia ksh 200 registration lazima uwe na ID ya Kenya au passport Kama huna vyote tafuta mtu mkenya umuombe sanasana bodaboda n waraisi ila muweke waz akikubali usisahau kuchukua ID number Mana kwenye kuwekewa pesa lazima ID number iwepo.

Nibora ukaenda kuchukua lain ambayo unahakika nayo kuliko ya mashaka M-Pesa n Kenya na Tanzania n bidhaa ya Vodafone hvyo soon Tanzania nasie tutawekewa Mambo ya kutuma lazima ID tahadhari n Bora kuliko tiba
 
*KINGEST🀴🏼*

*⚽FOOTBALL⚽*

*⚽OFK Petrovac - OFK Grbalj*
*Tip: 1:1 [Correct Score]*
*Odd: 5.50*
πŸ€·πŸ½β€β™‚πŸ€·πŸ½β€β™‚πŸ€·πŸ½β€β™‚πŸ€·πŸ½β€β™‚πŸ€·πŸ½β€β™‚
*Tip: X [Full-time]*
*Odd : 2.89*
*Congratulations βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…*


*Start: πŸ•£πŸ•£ 14:00*
*Safety: 95%πŸ”₯πŸ”₯*
*β›ΉπŸ½β€β™‚β›ΉπŸ½β€β™‚Let go*
*πŸ™πŸΌOh Lord, we pray for greenβ™»β™»..*
TEAM KINGEST βœ”βœ”βœ”βœ”
TEAM KINGEST βœ”βœ”βœ”βœ”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…